Kiskou

Kiskou ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waskou. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiskou imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiskou iko katika kundi lake lenyewe la Kiskou.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search